BANGILI POA KABISA
VITUZ MWAKE MWAO
Herini nazo zitakuwako kwa wingi
Mikufu ndo usiseme tumeagiza mingi.
Hizi herini ni nzuri sana.
woooooooooow!!!!!!
Mambo ya bangili hayo.
Kwa wale mnaojipenda kumbuka kuwa
haya sio mambo ya kukosa.
BANGILI YA SILVER
BANGILI YA RANGI
AKINA KAKA MAMBO YENU HAYA
SAFIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!
bangili nzuri sana tena sana hii,
zitaanza kupatikana kwa wingi
kwenye store zetu, na bila kusau
ni kuwa tunawakumbusha wateja wetu
kuwa hii blog yetu ni mpya , na tulikuwa
tunatumia jina la( jojosssfashions.blogspot.com)
lakini kwa sasa tunatumia jina la..................
(jojossfashions.blogspot.com)
KARIBUNI NYOTE
T












0 comments:
Post a Comment