Friday, August 27, 2010

Monday, August 23, 2010


Sunday, August 22, 2010

mambo vipi jamani bas kaeni mkao wa kula karibu tunakuleteni vitu vya maana vya iddi

Sunday, August 1, 2010

ANGALIA MPINI WA EMINEM

FUNGIA WIKI NA MANENO YA DIAMOND

TANGAZO

Ile blog yetu ya jojosssfashions.blospot.com kwa sasa haitumiki, kwa sasa tunatumia blog yetu hii mpya ukiandika tu kwenye google utatupata kupitia jina hili jojossfashions.blogspot.com ukiona utaona kama iko sawa lakini tafauti yake ni (s )moja tu katika blog hii utapata mambo mengi sana, kama bidhaa zetu tunazouza kutoka uk & us, na utapata mambo mbali mbali kuhusu jamii,fashions, matukio mbalimbali, na kama utataka kutangaza matangazo yako tafadhali usisite kuwasiliana nasi kupitia email yetu: jojossfashions@hotmail.com tunatangaza matangazo kwa bei poa kabisa karibuni nyote.

LADYSHAVE

Wet and dry cleaning brush
protective cap
Operated by 2 x AAA batteries



2xAAA batteries requred
Wet and dry use
Hypoallergenic foil
protection cap
slim ergonomic design














TUNAZO LADYSHAVE ZA KILA AINA, KAMA UTAHITAJI WASILIANA NASI

TOMS NA CRIMPERS ZA MAANA.

Tongs lock closed for convenient storeg
Dishwasher safe

Cool tip
protective heat shield for fast
Easy storage


230 degrees heat up temperature
25mm barrel size



16 mm barrel for perfectly defined curls
worldwide voltage




16 watts
2 heat settings


TOMS NA CRIMPERS TUNAZO ZA KILA AINA KAMA UTAKUWA UMEVUTIWA NA CHOCHOTE KILE KWENYE BLOG YETU AMBACHO UTATAKA KUNUNUA TAFADHALI
WASILIANA NASI KUPITIA EMAIL: JOJOSSFASHIONS@HOTMAIL.COM


TUNA DRYER AINA TAFAUTI

1250 watts
3 heat setting plus cool shot
nozzle for precision drying
afro-caribbean hair.

1200 watts
1 heat setting
2 speed
concetretor nozzle


1200 watts
ceramic
lonic-to urmaline

2 rows of ceremic straightening plates grip
and straighten the hair as you dry
2000 watts




SASA ZA KITOTO NAZO PIA TUNAZO

Youth
scratch resistant glass
lilac dial


Plastick case
Plastick strap
LCD display



Girls
stone set round alloy case

Girls
Pink heart design dial




PREGNANCY WEEK BY WEEK

Jamani hem tukumbushane kidogo, kwanza tumuache MUNGU aitwe MUNGU kutokana na uungu wake na uwezo wake mkubwa pamoja na kutuumba binaadamu katika maumbile yaliyobora mnooo,
pili naomba tuwaheshimu waliotuzaa mana kweli walipata taaaaabu kupita kiasi, hem apo chini tuangalie jinsi walivyotubeba kwenye matumbo yao kuanzia wiki hadi wiki mpaka siku tulipoletwa duniani, tunamshukuru muumba kwa kutupa nafasi hii ya kutujaalia kuwa binaadamu wazuri kabisa na kuwa wabora na kutuumba kutokana na sifa zake, jamani mimi nasisitiza tuwaheshimuni sana wazazi kwa hali na mali, nakuwajali na kuwalea kama wao walivotulea, me sina mengi kwa leo ni ayo tu.

JAMANI TUWAHESHIMUNI WALOTUZUZAA

Wordpress theme by blogging-secret Blogger templates created by www.btemplatebox.com