Sunday, August 1, 2010

PREGNANCY WEEK BY WEEK

Jamani hem tukumbushane kidogo, kwanza tumuache MUNGU aitwe MUNGU kutokana na uungu wake na uwezo wake mkubwa pamoja na kutuumba binaadamu katika maumbile yaliyobora mnooo,
pili naomba tuwaheshimu waliotuzaa mana kweli walipata taaaaabu kupita kiasi, hem apo chini tuangalie jinsi walivyotubeba kwenye matumbo yao kuanzia wiki hadi wiki mpaka siku tulipoletwa duniani, tunamshukuru muumba kwa kutupa nafasi hii ya kutujaalia kuwa binaadamu wazuri kabisa na kuwa wabora na kutuumba kutokana na sifa zake, jamani mimi nasisitiza tuwaheshimuni sana wazazi kwa hali na mali, nakuwajali na kuwalea kama wao walivotulea, me sina mengi kwa leo ni ayo tu.

0 comments:

Wordpress theme by blogging-secret Blogger templates created by www.btemplatebox.com